“Bondia kama Hassan Mwakinyo yule ni kijana wetu na nia yetu afike kwenye jukwaa la dunia naongelea akapigane huko Las Vegas, Miami afike kwenye level hiyo” Kelvin Twissa.

“Boxing sio mchezo ambao unatoka leo hapa unafika juu kwenye kilele inabidi uwe kama vile unapanda mti unaanza na tawi la karibu unalishika halafu unafuata la juu yako kwahiyo sisi kazi yetu tunachozingatia ni hicho, kuwasogeza taratibu mpaka kile anapotakiwa kufika” kelvin.twissa, Mkurugenzi Jackson Group

Unaweza kutazama mapambano ya #RumbleInDAR second edition powered by @KCBBankTZ Mei 28,2021 kuanzia saa 2 usiku kwa Tsh.19,900 tu pindi utakapolipia kifurushi chako cha DStv Bomba.

Lipia sasa ili uweze kuipata Plus TV channel namba 294 on @dstvtanzania mubashara ili uweze kuwatazama @hassan_mwakinyo_jr @Ibrahim_class na Shaabani Jongo bila longo longo yoyote LIVE hadi sebuleni kwako.