Watubaki komedi show LIVE ndani ya DStv chaneli namba 294 ijumaa hii ya tarehe 30 mwezi April  kuanzia saa 2:30 za usiku. Ni wataalamu wa kucheza na mbavu za watu kwenye sekta ya ucheshi wima. Burudani hii yote utaiona kupitia runinga yako kwenye kisembuzi cha DStv kwa kifurushi cha Bomba kwa bei ya Tsh.19,900 ili kushuhudia show hii kali ya kuvunja mbavu.

Hakikisha ukosi kutazama show hii ambayo inasubiliwa kwa hamu sana na watanzania wote waliopo ndani na nje ya Tanzania. Plus Tv inaonekane takribani nchi 32 barani afrika kwa kuzingatia hilo basi unachotakiwa kufanya ni kutazama Plus Tv ambao wanapewa nguvu na Multichoice Tanzania (DStv).