Nedy Music a.k.a Mpemba mmoja huenda akawa ametimiza moja ya ndoto kubwa alizokuwa akiziota kwenye maisha yake, mara baada ya kukutana na mkongwe wa muziki kutoka South Afrika Yvonne Chakachaka.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Nedy alipost picha akiwa na mwanamama huyo na kuandika “MUDA MWINGINE MOYO HUFARIJIKA KWA WATU NDOTO UNAZOOTA BAADHI ZIKITIMKA 😊!!!! TAYARI NAFSI YANGU IMEPATA FARAJA KUWA MOJA YA WATU NILIOWAHI KUKUTANA NA MTU MASHUHURI NA MFANO WA KUIGWA KWA VIZAZI, @yvonne_chakachaka.” Tuambie ushatimiza moja ya ndoto zako ulizokuwa ukiziota ?

#PlusXtraUpdates